Atakayebainika Kutumia TWITTER AtashtakiwaNigeria ilifungia mtandao wa kijamii wa #Twitter kwa madai unahatarisha Usalama wa Nchi. Mwanasheria Mkuu, Jenerali Abubakar Malami ameagiza kufunguliwa mashtaka kwa yeyote atakayekaidi agizo la Serikali la kufungia Twitter

Hatua ya kufungia Twitter ilikuja muda mfupi baada ya mtandao huo kufuta Tweet ya Rais wa #Nigeria, Muhammadu Buhari ukisema alikiuka Sheria zao

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE