.

6/05/2021

BALAA la gari la DIAMOND, dhahabu, kuna printer, mashine ya kahawa, friji, menu, ZARI aielezea


Gari jipya la Diamond Platnumz ni balaa tupu. Ukiwa ndani, unapata huduma nyingi ambazo gari za kawaida hazina. 

Mfano, kuna mashine maalum ya kutengeneza kahawa, printer ya ofisi, friji, menu maalum ya kukusaidia kuelewa vitu vilivyomo, mapazia customized yanayofungwa kwa remote au button na vingine. 

Pia ndani ya gari hili aina ya  Cadillac Escalade Mobile Office kuna baadhi ya mapambo kwenye gari yako customized na dhahabu..

VIDEO:


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger