Breaking News: Sabaya afikishwa Mahakamani

advertise here

Leo June 4, 2021 Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake waamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, wakisubiri kupandishwa kizimbani wakati wowote kuanzia sasa kusomewa mashtaka.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE