Breaking: Sabaya Ashtakiwa kwa Ujambazi

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 

Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ambaye alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, amesomewa mashtaka sita, ikiwemo uhujumu uchumi, utakatishaji fedha, wizi wa simu na unyang’anyi wa kutumia silaha (ujambazi).

 

Sabaya ambaye amefikishwa mahakamani hapo leo mchana Ijumaa Juni 4, 2021 akiwa na watuhumiwa wenzake wanne, mbele ya mahakimu wawili na wamesomewa makosa hayo sita na kunyimwa dhamana hadi Juni 18 kesi yake itakapotajwa tena.

 
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad