Brian Simba afunguka Vanessa Mdee kuacha kumpa sapoti, sijaongea naye muda“Mimi naona sawa tu kwa sababu sijaongea naye muda sana ila Mimi Mars ananisapoti sana, tuliacha mambo kwenye sehemu nzuri , huwezi kumlzimisha mtu akusapoti hiyo inatoka kwenye moyo wa mtu”

Mimi niliondoka Mdee Music bila ugomvi hiyo ilikuwa mipango tu na naona menejimenti yangu ya sasa inanifaa zaidi, Mdee Music ilinitangaza sana ngoma zangu zilipigwa mpaka Nigeria, Ghana, Afrika Kusini”. – @briansimba_đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad