Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Busta Rhymes ameshare Video akiwa Diamond "Wewe ni Michael Jackson wa Afrika"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURERapa Legendary tokea nchini Marekani Busta Rhymes ameshare Video akiwa na Simba Diamond Platnumz wakiwa Studio na Kumwagia Sifa kibao ikiwemo kumuita 'Michael Jackson of Africa ' / Yaani Michael Jackson wa Afrika .

Katika Video hiyo ambayo wanaonekana kama wanasuka Mdundo wa Pamoja, wameonekana Mastaa wengine akiwemo Thereal swizzz , @hitmaka na @otgenasis .


Diamond amedai kuwa Atakua nchini Marekani kwa Muda ili kuandaa Album yake, ambayo Producer wake Mkuu anatokea nchini humo (Hakutaja Jina Lake ) .


Huu ni Muendelezo wa Harakati za Diamond Platnumz kuhakikisha anauvusha Muziki wa Afrika Mashariki Duniani 

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments