Chalamila Akabidhi Ofisi Kwa RC Mpya Mwanza
Aliyekuwa Mkoa wa Mwanza, Albert Chalamila leo Juni 11, 2021 amemkabidhi rasmi majukumu ya ofisi hiyo kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Mwanza Robert Gabriel Luhumbi, baada ya uteuzi wake kutenguliwa

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE