.

6/02/2021

Darasa "Wasanii Hatupendani Kuna Mmoja Mwenye Lebo Kubwa Aliulizwa Kuhusu Mimi Oman Akasema Mimi Teja"


"Wasanii wa bongo hatupendani, mwaka fulani kuna mmoja wetu ana lebo inaheshimika hapa Bongo, alienda Oman wakamuuliza kwamba yule msanii aloimba 'Maisha na Muziki' tunampataje? Akawajibu huyo ni teja msihangaike naye, nikajua, niliambiwa na mwenzake waliyetengana juzi juzi...." amesema Darasa.

Je, unadhani msanii mlengwa na aliyemtonya Darasa watakuwa ni nani?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger