Diamond Atua Marekani Kwaajili Ya Tuzo Za BET
Megastaa wa muziki barani Afrika, Diamond Platnumz tayari ametua jijini Los Angeles, kujumuika na mastaa wenzake kwenye utoaji wa Tuzo za BET hapo kesho.

Diamond ameongozana na mmoja wa mameneja wake, Babutale pamoja na mpigapicha wake, Lukamba.

Tuzo hizo zinatarajiwa kutolewa kesho Jumapili ya Juni 27, 2021 huku Diamond akiiwakilisha Afrika Mashariki na Kati akiwania katika Kipengele cha Best Internation Act ambacho anapambana na mastaa kama

Wizkid na Burna Boy kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act:

Orodha kamili ipo hapa chini.

@Ayanakamura_Officiel (France)
@BurnaBoyGram (Nigeria)
@DiamondPlatnumz (Tanzania)
@Emicida (Brazil)
@Headieone (UK)
@WizKidayo (Nigeria)
@YoungTandBugsey (UK)
@Youssouphamusik (France)đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad