.

6/08/2021

Diva "Nilimtajia Diamond msharaha na vitu ninavyotaka hakutaka majadiliano alikubali"Wakati anakaribishwa Mtangazaji huyo mpya wa #WasafiFm ameeleza kuwa @diamondplatnumz aliwahi kumfungulia kesi akimdai bilioni moja na nusu (1.5bil) na yeye akafungua kesi kama ile ile.

@divatheebawse ameeleza kuwa yeye hapendi mambo ya kesi na alikuwa anaumia sana kuitwa polisi lakini siku moja alipigiwa simu na mwanasheria wake akimwambia kuwa @diamondplatnumz ameifuta ile kesi @divatheebawse anasema alifurahi sana.

Tena kuna kipindi niliumwa akanipigia simu akaniuliza umepona..? Na nilipokutana naye nikamtajia vitu ninavyotaka hakutaka majadiliano aliniambia atanipa vyote.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger