AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
KOCHA wa Manchester City Pep Guardiola ametwaa tuzo ya kocha bora wa msimu wa 2020/21, baada ya kuiwezesha timu hiyo kushinda ubingwa wa ligi kuu.
Guardiola amewashinda kocha wa Leeds United Marcelo Bielsa, David Moyes wa West Ham United, kocha wa Leicester Brendan Rodgers na Ole Gunnar Solskjaer wa Manchester United.
Mhispania huyo ameiongoza City kutwaa Ubingwa wake wa tano ikiwa kwake ni wa tatu tangu atua kuifundisha timu hiyo.
Pep ametwaa ubingwa timu yake iiongoza kwa kufunga magoli mengi 82 na imeruhusu kufungwa machache 32.
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK