Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Habari Nzuri Kwa Watanzania..Timu ya KRC Genk Yamsajili Kelvin John Mbappe”

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREKlabu ya Soka KRC Genk ya Ubelgiji imemsajili kinda wa Tanzania, Kelvin John maarufu kama ‘Mbappe’ hadi mwaka 2024, ambapo ataweza kuongeza mkataba kwa misimu miwili.Kelvin alikuwa Brooke House Football Academy nchini Uingereza, ambapo ilimbidi kusubiri atimize miaka 18 ili aweze kusajiliwa.

KRC Genk imetoa taarifa kwenye mitandao yake ya kijamii.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments