‘Haikuwa kazi rahisi' - Anjella

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Nyota wa muziki wa kizazi kipya kutoka Konde Music Worldwide Anjella, amekiri kuwa haikuwa kazi rahisi kwake kufikia mafanikio kimuziki pasipo upendo kutoka kwa mashabiki zake hii ni mara baada ya kukabidhiwa Tuzo (Plaque) na mtandao wa Youtube.

 

Baada ya kukabidhiwa Plaque hiyo ametumia ukurasa wake kwenye mtandao wa Instagram kuelezea hisia zake.


"Haikuwa kazi rahisi toka nimeianza safari yangu ya muziki rasmi nimeuona upendo wenu wa dhati mashabiki zangu ambao mmejitolea muda wenu kufuatilia kazi zangu asanteni sana upendo wenu umekuwa somo kubwa sana katika maisha yangu na hili limethibitika baada ya kufikisha wafatiliaji 100,000 kwenye YouTube account yangu ( silver button award ) asante sana endeleeni ku-subscribe account ya YouTube".

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad