.

6/03/2021

"Hanscana sio Level zangu" - Nisher

 


Director Nisher amewasifu baadhi ya 'directors' wa video kwa kufanya vitu vyenye ubora kwa sababu ni kitu kizuri, pia amesema hawezi kushindana na Director Hanscana kwa sababu sio level zake.

Nisher amejibu hilo baada ya kuulizwa kuhusu video zinazofanywa na directors wa sasa kwenye soko la muziki kwamba zina viwango gani.

"Washkaji wa sasa hivi wanabidii kwenye video wanaachia vitu vyenye Quality na wana njaa 'which is good' wanajitahidi ila inabidi wajitahidi sana kwa sababu Creativity bado"

"Hanscana mimi hanihusu ila anayenihusu ni Khalfani ambaye ametoka kwenye mikono yangu kwa hiyo sitakiwi kuwa na battle na Hanscana ambaye ametoka k

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger