Harmonize Hana Shabiki Hata Mmoja...Mashabiki ni Kiba na WCB tuHuyu #Harmonize anajidanganyaga sana kudhani naye ana Mashabiki, ni vyema akatambua mapema kuwa hana Shabiki hata Mmoja.

Tanzania nzima kuna Mafans wa Kiba na WCB. Hakuna msanii yeyote Mwingine Mwenye mashabiki.

Mashabiki wa Kiba ndio wanaomsapoti Harmonize pale Kiba anapokuwa Kimya, Kiba akiibuka wanarudi kwa Kiba.

Kama wewe ni Msanii Ukiwadiss WCB na Alikiba huo ndio utakuwa Mwisho wa Muziki wako. Mfano Baraka The Prince alivyokuwa Kwa Kiba alisapotiwa sana alivyoanza Kumkashifu Kiba na kuisifu WCB, Mashabiki wa WCB walisapoti kazi zake

Alipoanza kukashfu #WCB ndio kapoteza Mashabiki wote wa Pande mbili mpk sasa amebaki na Hasira tu anashabikiwa na Familia yake tu. Kwa ufupi kapotea Kimuziki na hatokuja kuinuka tena Kisanaa.

Siku Harmonize akijaribu kumdiss #Kiba siku hiyo hiyo atakuwa kama Baraka The Prince.

Alikiba na Diamond wameachia Nyimbo (#Salute x #Kamata) Harmonize kaamua naye apite na upepo huo kilichomkuta ni Aibu. Hakujua kama Team Kiba wako bize na Salute yeye wanamsapoti Mda ambao Kiba anakuwa Kimya.

Alikiba na Diamond wapo kwenye Mioyo ya #Watu, ni Ngumu sana Msanii mpya kuunda Mashabiki wake wapya never. Msanii ukiwadiss hawa Wawili ndio utakuwa umejiua Kimuziki.

#DiamondPlatnumz na #Alikiba ni sawa na CCM na CHADEMA hivi vyama vipo mioyoni mwa Watu. Mwanasiasa Ukiitukana #CCM na #CHADEMA utakuwa umejiua Kisiasa.


đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đŸ’¥NAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đŸ’¥NAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad