.

6/08/2021

Hatimaye Diva Loveness Ajiunga na WASAFI Media....Wagombanao Ndio Wapata Nao

 


Mtangazaji maarufu wa vipindi vya usiku diva anejiunga na Wasafi media kwa mujibu wake akifanyiwa mahojiano amesema amesaini mikataba aliyopewa na Diamond ambao atakuwa analipwa zaidi ya kile alichokuwa analipwa na media aliyofanya nayo kazi lakini ameongea pia amepewa gari na Diamond. Ameongea kuwa Diamond amemuajiri baada ya kutatua ugomvi wao walikuwa nao.

Akaulizwa kwanini hivi karibuni alikuwa anamshabikia Sana diamond? Akajibu nilianza kumshabikia baada ya diamond kufuta kesi dhidi yake mahakamani na ndipo nikaamua kuacha kuwa na ugomvi nae

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger