google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Hatimaye Mume wa Dida Ajulikana | UDAKU SPECIAL

Hatimaye Mume wa Dida Ajulikana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Meya wa Jiji la Dare s Salaam, Omary Kumbilamoto.

BAADA ya kumfichaficha kwa muda mrefu, hatimaye mume wa mtangazaji Khadija Shaibu ‘Dida’ amejulikana ambaye ni Meya wa Jiji la Dare s Salaam, Omary Kumbilamoto.

 

Video mbalimbali  zilizovuja usiku wa jana baada ya Dida kufunga ndoa, zilimuonesha Dida akiwa amevalia shela la harusi akiwa kwenye hoteli ya Serena peke yake bila ya mumewe.



Mapema leo hii ndipo imefahamika kuwa Dida kaolewa na meya huyo na kwamba sherehe za wawili hao bado zinaendelea kwa siku tatu mfululizo.

 

Hii ni ndoa ya nne kwa mtangazaji huyo. Dida aliwahi kuolewa na Juma Mchopanga ‘Mchops’, Gervas Mbwiga ‘G’ kabla ya kuolewa na mtangazaji mwenzake, Ezden Jumanne Ntambi na wote hao ameshatemana nao.

Stori: Sifael Paul


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad