Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Helkopta yaanguka Kenya na Kuuwa Watu 10

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Helikopta ya Jeshi la Kenya aina ya Mi 171e iliyokuwa katika shughuli za mafunzo imehusika katika ajali kwenye milima ya Ngong, Jimbo la Kajiado eneo la Bonde la Ufa.
Jeshi la ulinzi la Kenya (KDF) limethibitihs ajali hiyo katika mtandao wake rasmi wa Twitter na kuongeza kuwa shughuli za uokozi zinaendelea kwa sasa na Wanajeshi 10 wameshafariki mpaka sasa

Post a Comment

0 Comments