Hii Hapa VIDEO Inayooshe Kweli WEMA Sepetu Alikatwa Utumbo Mdogo, Kampuni ya Kenya Yaweka Uwazi Wote Hadharani


Muigizaji wa filamu za Bongo nchini Tanzania Wema Sepetu amejipata pabaya baada ya kifichuliwa kwa kitendo chake cha kukiuka mkataba.

Mwanadada huyo maarufu nchini Tanzania aliingia kwenye mkataba na kampuni moja ya madaktari nchini Kenya kwa jina “Viva Serenity”.

Chini ya mkataba huo, kampuni hiyo ingegharamikia upasuaji wa kumsaidia kupunguza uzani wa mwili naye aifanyie matangazo ya kibiashara kama balozi wake.

VIDEO:đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đź’ĄNAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad