Je Wasanii Kuonesha Hela zao ni Ushamba?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Sio mara moja @diamondplatnumz akipost picha au video akitoa hela tu utasikia jamaa mshamba sana, jamaa anapenda sana kujionyesha na Comment nyingi zinasema mshamba.

Nikaona kidogo niwaletee baadhi ya watu maarufu Dunia, Wasanii maarufu na matajiri Afrika wakionyesha hela.

Hapo yupo Davido, Wzikid, Mayweather pamoja na Soulja Boy wakiwa wameshikilia maburungutu ya pesa ila wao wala hawasemwi washamba. Jamani eeeh kumbukeni hawa Celebrities ndio maisha yao. 

Kama msanii wako hajapost basi ni yeye na hulka yake ila ni swala la kawaida kwa wasanii kufanya hivo na sio kwamba ni ushamba ndio umaarufu wenyewe.

Punguzeni kulalamika jamani nyie mnajenga nyumba na munapost Facebook, mkinunue baiskeli au kula kuku munapost ila akipost Escalade Tatizo akipost HELA tatizo nyie mnataka apost nini jamani?? Akigawa misaada bado utasikia mkono wa pili usijue.

By Mdau
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huo ni ushamba unaonyesha hela zako ili iweje ,kama ww umejaliwa na mwenyezi Mungu kuwana hela shukuru.

    ReplyDelete
  2. Ni vizuri kwa maslahi yake

    ReplyDelete

Top Post Ad