Kigamboni: Mtambowa wanaoiba mafuta wabainikaUkaguzi uliofanywa na Mkuu wa Wilaya umebaini nyumba moja iliyopo Ulongozi ina vifaa vya kuchimba visima, lakini vinatumika kuchimba kuelekea Bomba la Mafuta
Katika Ukaguzi huo vifaa mbalimbali vimegundulika yakiwemo magari yanayosadikiwa kutumika kubeba mafuta kutoka eneo wanalochimbia na kuyasambaza maeneo mbalimbali

Nyumba inayotumika kufanya shughuli hizo imekutwa na ulinzi mkubwa wa Kamera na walinzi japo hapakuwa na shughuli yoyote inayoendelea ndani. Imeelezwa, aliyepanga nyumba analipa Tsh. Milioni 60 kwa mwaka kama Kodi 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE