.

6/07/2021

Kiongozi wa Boko Haram ajiua mwenyeweKundi la wanamgambo wa itikadi kali la Dola la Kiislamu katika kanda ya Afrika Magharibi – ISWAP limesema katika mkanda wa sauti kuwa Abubakar Shekau, kiongozi wa kundi pinzani la wanamgambo wa itikadi kali nchini Nigeria Boko Haram, amefariki.

Is Boko Haram leader Abubakar Shekau dead? - The Standard

Sauti ya mtu anayedai kuwa kiongozi wa ISWAP Abu Musab al-Barnawi imesema kwenye mkanda huo kuwa Shekau alifariki dunia kwa kujiuwa mwenyewe karibu na Mei 18 baada ya kulipua bomu wakati akiwindwa na wapiganaji wa ISWAP kwenye makabiliano.

Watu wawili wanaomfahamu al-Barnawi wameliambia shirika la habari la Reuters kuwa sauti iliyonaswa kwenye mkanda huo ni ya kiongozi huyo wa ISWAP. Ripoti ya intelejensia ya Nigeria iliyoshirikishwa na afisa wa serikali na watafiti wa Boko Haram pia wamesema Shekau amefariki.


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger