Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Kufuru Tupu Sherehe Ya Dida Mlimani City

 
Kama jana jioni na usiku wa kuamkia leo ulibahatika kukatiza kwenye Barabara ya Sam Nujoma kutokea Ubungo kuelekea Mwenge au kutokea Mwenye kuelekea Ubungo au Chuo Kikuu cha Mlimani au Makongo au Changanyikeni jijini Dar, utakuwa ni shuhuda wa jinsi eneo la Mlimani City lilifunga kwa magari ya kifahari.

 

Hapo ndipo kulipokuwa na sherehe iliyosheheni kufuru ya mtangazaji Khadija Isihaka Shaibu ‘Dida’

na Meya wa Jiji la Dar, Omary Kumbilamoto ambayo ilikuwa ni pambe tu.

Shughuli hiyo ilipambwa na vitu vya kifahari kuanzia magari, mavazi, kufuru ya kumwaga pesa, watu kula na kunywa hadi kusaza na mengine mengi, tunaendelea kukupa updates za vibwanga vya mastaa ambao walifurika kama wote.

STORI NA SIFAEL PAUL | GPL

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments