Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mange Kimambi Afunguka Baada ya Diamond Platnumz Kukosa Tuzo "Roho Inaniuma ila Tungehama Instagram"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Reposted from @mangekimambi_ Kijana wetu kashindwa na Burna Boy😭😭😭. Lione li Burna sura bayaaaaaa 😏😏😏

Either way, he represented us well. Watakaomcheka hawana akili wote maana sio Diamond kashindwa ni Tanzania imeshindwa 😭😭.

Aisee mi mzalendo mnooo, roho inaniuma kuwa tumeshindwa. Najua angetukosesha amani, yani tungemkoma yeye na watu wake, yani ingebidi tuhame insta kwa muda jinsi ambavyo tungenyanyasika🀣 ila still roho inaniuma tumeikosa tuzo 😭😭😭😭

Ila wanaigeria wachawi mnooo, mtu alienda mpaka na mamake mzazi kama sio maelekezo ya mganga nini? 😩😩

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments