Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mange Kimambi Amchana Diamond Platumz " Gari Aina ya Cadillac Aliyonunua Dai ni ya Kawaida Sana Marekani Hata Wabeba Maboksi Wananunua"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


From @mangekimambi_ Guys magari ya Cadillac ni magari ya kawaida mnoooooo hapa marekani. Yani hapa marekani Cadillac ni sawa na maVX huko bongo. Ni magari ambayo hayana status kabisaaaa. Yani Hata mimi dada enu siwezi kununua hiyo gari ya Dai hapa nikajitamba, Ntachekwa na wajanja wanaozijua hizo gari hapa marekani.

Sio kama nasagia. I want him to do well. Ila kama anataka kushindana na wanaigeria inabidi apande juu zaidi. Cadillac sio gari za kuringia kwamba mtu ni tajiri. Hata kibongo bongo Cadillac sio gari ya kuonyesha kiburi cha pesa especially kama ni used kama hizo za Dai ndo hazina thamani kivile.

Siku akishusha gari ya maana bongo mimi ntakuwa mtu wa kwanza kukubali na kumsifia. Ila kwa hapa bado anatembea level za kawaida mnoooo.

Ila kibongo bongo ye ni tajiri. Ila kwa wanaigeria hapo bado sanaaaaaaaaa.

Mfano mdogo tu, ashushe Mercedes Benz G-wagon 2021 hapo bongo. Mi mwenyewe ntaposti hapa nimpe shikamoo. Yani hata hana haja ya kufika huko kwa ma Rolls Royce ya 2021 kama kina Davido maana huko ni parefu mnoo. Ashushe kitu cha Ferrari brand new 2021 wanachoendesha kina Wizkid na Burna Boy, yani hata sisi haters itabidi tukubali tu kuwa dogo ana hela ndefuuu. Ila kwa hizi Cadillac ambazo tunazijambia hapa marekani na hata mabwana zetu wabeba boksi wanazo tunakuwa bado hatumsomi.

Jamani watanzania tunatia aibu naamini hata wakenya wanatushangaa tunavyoona Cadillac ni gari ya kusifia mtu ana hela 🤦🏽‍♀️. Wanaigeria ndo wanaweza kulala chini wakituchekaaaa.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments