Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mbunge adai posho na mishahara ya Wabunge haitoshi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
Mbunge wa Mbogwe (CCM), Nicodamus Maganga amewataka Wabunge kuwaeleza wananchi ukweli kuwa mishahara na posho wanazolipwa hazitoshi.
Maganga ameyasema bungeni Mjini Dodoma wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22.

“Nikiwa bado sijaingia humu nilikuwa nafikiria kuna posho za kutosha. Nimeangalia mabunge mengine Afrika ya Kusini pamoja na Kenya pamoja na mabunge mengine wanalipa kwa dola,” Maganga


 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments