.

6/01/2021

Mbwana Samatta "Watanzania Waliongea Maneno Makali Sana Baada ya Mimi Kuondoka Vila, Sidhani Nikirudi Nitakaa"


Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta anayecheza Fenerbahce ya Uturuki kwa mkopo akitokea Aston Villa amejibu swali la kama atarejea Aston Villa kutokana na mkataba wake wa mkopo kumalizika.

"Watanzania baada ya kuondoka Villa waliongea maneno makali sana kwa hiyo sijui nikirudi nitakaribishwa au nitafukuzwa nadhani nitarudi lakini sijui kama nitakaa sababu Watanzania wengi waliongea maneno makali huwezi kujua kama watakuwa wamenikasirikia" ——— Samatta.

Samatta aliondoka Aston Villa mwanzo wa msimu baada ya kukaa nao kwa miezi sita licha ya kuwa alisaini mkataba wa miaka minne na nusu. #MillardAyoSPORTS

18m

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger