Mimi Ni Msichana Mrembo Sana Ila Nikiingia Kwa Mausiano Ya Kimapenzi Na Mwanaume Yoyote Huniacha Bila Sababu Yoyote Ya Msingi

 


Kiwangadoctors wanatatua shida mbalimbali ambazo tunakutana nazo kila siku kama kurudisha mpenzi  wako,Kupata uzazi,kusafirisha nyota yako,kupĂ ndishwa cheo kazini,kupata kazi,kushinda michezo ya  batinasibu,kumfunga mme au mke asiende nje ya ndoa na kutambua kuwa mwenzako anakusariti au  hapana kwa mda wa masaa 24.Pia kiwangadoctors wanatibu ugonjwa wa Sukari,Pressure na dawa ya  nguvu za kiume.Wasiliana na kiwangadoctors kwa namba ya simu +254 769404965 au tuma ujumbe  kwa barua pepe kiwangadoctors@gmail.com na zaidi temberea website yao www.kiwangadoctors.com kupata taarifa zaidi. 

Jina langu naitwa Serina,umri wa miaka 26.Mimi ni msichana mzuri kisura pia kitabia kutokana na jamii  ninayo ishii wanavyonambia,ata mimi mwenyewe nikijitazama naona kuwa nimetimia kila mahari kwa  sababu nina kila sifa mwanaume ambayo anapenda kwa mwanamke kuwa nayo. 

Shida yangu kubwa ambayo imenifanya niandike ujumbe huu naitaji kupata ushauri kutoka kwa watu  mbalimbali ili niweze kujua jambo gani la kufanya kwa sababu nimeumia kwa mda mrefu sana na  kujiuriza mimi mwenyewe maswali mengi bira kupata majibu sahiii ambayo yanaweza tatua shida yangu  niliyonayo. 

Shida kubwa ni tangu nikiwa na miaka 17 nikijiusisha na mausiano na mwanaume yoyote tunapendana  kwa mda mchache sana na kuniacha bira mimi kujua wapi nimemkwaza.Hali hiyo imenitokea kwa  wanaume wengi sana ila mimi sikujari kwa mda nikidhani mwanaume ambaye ananitongoza kisha  tunapendana na badae ananiacha anakuwa siyo chaguo ambalo mungu amenipangia. 

Nilipofikisha miaka 23 nikaitaji mwanaume ambaye ntaweza funga nae pingu za maisha kwa sababu  nirikuwa nimeisha itimu masomo yangu hivyo niliitaji mtu wa kubadirisha mawazo ya maisha japo bahati  yangu kubwa nirikuwa natangozwa kila mara ila naachwa bira kujua wapi nimemkwaza  mwenzangu.Jambo ambalo limekuwa kitendaaili kwangu. 

Siku moja nirienda kumtemberea Shangazi yangu mkoa wa Tabora ili niweze badirisha mazingira ya  nyumbani maana nilikuwa nimechoka kukaa home.Nilifika salama na kupokerewa na mtoto wa Shangazi  yangu Leaha.Leaha arikuwa na umri kama wangu hivyo turiweza badirishana story mbalimbali kuhusu  wanaume ata vitu vingine kuhusu maisha. 

Watu wengi mtaani warihisi kuwa mimi na Leaha ni mapacha kutokana na kufanana sana pamoja na jinsi  tulivyokuwa tunapendana.Nikiwa nimemariza siku saba tu nikiwa mkoa wa Tabora nikatongozwa na  kijana mmoja anaitwa Sharifu.kwa mtazamo wa haraka Sharifu arikuwa ni kijana mwenye sifa ambazo  mimi napenda mwanaume kuwa nazo japo sikuweza kumbukaria nikiofia yale yariyonitokea kwa  wanaume wa kwanza nirio kutana nao japo moyo wangu unaumia. 

Siku zinazidi kusogea na Sharifu bado anaomba nimkubarie ili tuweze anzisha family wote wawili pia  pesa yake ananipatia kila ninapoitaji bira kusita ata mtani wanamsifu kuwa ni kijana mzuri ana sifa  yoyote mbaya mtaani ata Shangazi anamjua kwa sasa ila mimi sijakubari. 

 Naitaji ushauri kwa yoyote atakaye weza soma story yangu maana sijui kipi nifanye Sharifu nampenda  ila naogopa nikisha ingia kwa mausiano nae ya ndani kabisa yasije nitokea kama mwanzo au nibaki 

single na kula pesa za wanaume wanaonitongoza ila nisiwakubarie na je nikifanya hivyo ntaishi maisha  gani kwa sababu umri unaenda pia.đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SERIKALINI

đź’ĄNAFASI ZA AJIRA ZILIZOTANGAZWA LEO SEKTA BINAFSI

đź’ĄNAFASI ZA INTERSHIP MAKAMPUNI MBALI MBALI

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad