Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Mmiliki wa Gari Lililosababisha Vifo Moro Ajisalimisha Polisi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,  Fotunatus Muslimu amesema mmiliki wa gari lililosababisha vifo vya watu tisa eneo la Nanenane  manispaa ya Morogoro amejisalimisha polisi.

 

Kamanda Muslimu ameyasema hayo leo katika mkutano wake na waandishi wa habari kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu, ilipofanyika operesheni maalumu ya ukaguzi wa  mabasi ya abiria ambapo amesema katika  operesheni hiyo iliyofanyika usiku, wamekamata magari 36 ambayo hayakuwa na vibali vya kusafiri.

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments