Morogoro: Mchina Akamatwa kwa Kutorosha Dhahabu

Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Ngolo Malenya kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo wamekamata madini ya dhahabu yenye uzito wa kilo mbili yanayodaiwa kuwa yalikuwa yakitoroshwa na mwekezaji raia wa China akishirikiana na mwekezaji mzawa wa Tanzania, Junior Kasanga.Madini hayo yalichimbwa katika Mgodi mgodi uliopo kijiji cha Isyanga wilayani humo mkoani Morogoro.

 


 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE