.

6/11/2021

Mwalimu Mkuu Apigiliwa Msumari wa Nchi 4 Kichwani, Kisa Kizima Hichi Hapa

 


Mwanafunzi wa Kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Ainamoi iliyoko Kaunti ya Kericho, Kenya anatafutwa na Polisi kwa kumpigilia msumari wa inchi nne Mkuu wake wa shule.


Mwanafunzi huyo alizuiwa kuingia darasani akitakiwa kwanza alipe ada aliyokuwa anadaiwa ambayo ni takribani Tsh. 150,000, ambapo imedaiwa mwanafunzi aliomba muda zaidi wa kulipa kiasi hicho.


Baada ya kutoelewana mwanafunzi alimvizia Mkuu wa Shule na kumgongelea msumari wa inchi nne kichwani ambaye kwa sasa amewahishwa hospitali kwa matibabu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger