.

6/10/2021

Mwigulu: Deni la taifa limeongezeka kutoka Tril 55.5 hadi Tril 60.9
“Hadi Aprili 2021, deni la serikali lilikuwa shilingi Tril 60.9, ikilinganishwa na shilingi Tril 55.5 mwaka 2020, ongezeko hilo lilitokana na kupokelewa kwa fedha za mikopo mipya kwa ajili ya kugharamia miradi ya maendeleo”Akiba ya fedha za kigeni inaridhisha kukidhi mahitaji ya uagizaji wa bidhaa na huduma kutoka nje ya nchi, hadi Aprili 2021 akiba ya fedha za kigeni ilikuwa USD Bil. 4.97 ambayo inatosheleza uagizaji kwa takribani miezi 5.8”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger