.

6/07/2021

Mwili wa Songoro umesafirishwa leo kwa ndege

Mwili wa mmiliki wa Kampuni Songoro, Salehe Songoro ambaye ni mjenzi wa Meli ya Mv Mbeya II umesafirishwa kwa ndege leo asubuhi kwenda Dar es Salaam kwa mazishi.


Songoro alifariki jana katika Hospitali ya Ks Jijini Mbeya baada ya kuugua ghafla ugonjwa wa kisukari.Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu ,June 7 ,2021 Kamanda wa polisi mkoani Mbeya ,Urlich Matei amesema walipokea taarifa hizo jana na kuhifadhi  mwili wake  kwenye Hospitali  Rufaa ya Mkoa."Kimsingi kama Serikali  Taifa limepoteza mtu muhimu sana na kwa Mkoa wa Mbeya ameacha alama kubwa ya ujenzi wa Meli ya MV Mbeya II.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger