.

6/03/2021

"Nadhani Nipo Tayari Watu Wangu" - Barakah The Prince

 


Unaweza kusema the long wait is over, baada ya Barakah The Prince kuashiria urejeo wake na kazi mpya.

The Black African Prince ame-share picha instagram akiwa location aki-shoot video na kudokeza kuwa ni wakati sahihi wa yeye kuwapa burudani mashabiki zake.

Ameandika, "nadhani nipo tayari sasa watu wangu".

Barakah amekaa kimya karibu nusu mwaka bila kuachia wimbo wake rasmi, zaidi ya kusikika kupitia baadhi ya nyimbo alizoshirikishwa

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger