Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Ndugu wa Floyd Walia, Hukumu Haitoshi

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE
HATIMAYE hukumu ya aliyekuwa polisi wa Minnesota, Minneapolis nchini Marekani, Derek Chauvin aliyemuua Mmarekani mweusi, George Floyd, imetoka ambapo askari huyo mweupe, amehukumiwa kifungo cha miaka 22 na nusu gerezani.

 

Licha ya hukumu hiyo kupokelewa kwa shangwe na maelfu ya Wamarekani weusi waliokuwa wamefurika nje ya Mahakama ya Hennepin bado ndugu wa Floyd hawajaridhika. Wanasema adhabu aliyopewa ni ndogo na haifanani na uzito wa kosa alilolifanya askari huyo.

Post a Comment

0 Comments