.

6/06/2021

“Nimepitia Wakati Mgumu Sana Baada ya Kuondoka Kings Music” – Killy

 


Msanii kutoka lebo ya Konde Music Worldwide Killy, amekiri kupitia wakati mgumu sana baada ya kufanya maamuzi magumu ya kuikacha lebo yake ya zamani Kings Music kwani alihitaji kutumia muda mrefu zaidi ku-adopt mazingira ya lebo na aina ya mtindo wa maisha mapya.

 

'The vocalist master' Killy tayari ameachia kazi yake mpya inatwa Roho.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger