Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Nini Kinamkwamisha Harmonize Kufikia Malengo Anayoyatamani?

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BUREHarmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na kuna watangazaji pia ambao richa ya kuonekana kama wehu eg mwijaku ,lakn hawajali ni kama wamejitoa kafara kumsupport kijana.


Hata hvyo nguvu aliyowekeza kijana inaonekana kuleta matokeo madogo, hapa najaribu kulinganisha ukubwa wa uwekezaji aliyoufanya na output inayotoka zaidi ya miaka miwili sasa , mda mzuri kabisa Kwa matazamio.


Harmonize Hana tuzo yyte kubwa na ya maana , sioni record ya Harmonize popote pale Kwenye mashindano yyte Yale akitoboa , badala yake Harmonize kabebwa na Diamond, kijana wa Tandale ndo mtu pekee aliyeiona thamani yake , mda huo wadau wote wa Mziki walimuona hawezi.


Harmonize amekuwa akimtuhumu Diamond kama mtu ambaye ememfanyia hiyana Sana kwenye career yake ya mziki. Yeye mwenyewe na wapambe wake wamekuwa wakitumia nguvu nyingi Sana kumtukana na kumkashifu kijana wa Tandale , kelele ni nyingi na zenye ushawishi hata hvyo performance ya Harmonize ukilinganisha na kelele hzo ni ndogo Sana kwenye uwanja wa Mziki.


YouTube imekuwa ndo kipimo cha kukubalika Kwa msanii , msanii yyte akitoa wimbo, wimbo huo ukikimbiza YouTube basi msanii anavimba , na Hiyo strategy hata Harmonize mwenyewe anaitumia, wimbo wa Attitude ulipotoka makelele yalikuwa mengi Sana Kwa konde boy mwenyewe. Hata hvyo hesabu hazpo Sawa Saana Kwa Harmonize ,shida ni nini , uwezo mdogo, ama nyota hamna ama nini.Post a Comment

0 Comments