Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Rais Museveni Atangaza ‘Lockdown’

RAIS wa Uganda Yoweri Museveni jana Juni 6, ametangaza viziuzi vya watu kutoka nje (Lockdown) kwa siku 42, ikiwa na pamoja na kufunga shule za msingi na sekondari.

 

Museveni amtoa katazo hilo kupitia hotoba aliyoitoa kupitia Televishini ya taifa hilo, huku katazo hilo likianza kutekelezwa leo Jumatatu.

 

Katika kuendelea kudhibiti kusambaa kwa ugonjwa Corona, katazo hilo pia litahusisha taasisi zote za elimu, baadhi ya safari  Ibada, Pamoja na magulio.

Hatua hiyo imekuja baada ya kuongekeza kwa wimbi kubwa la kesi ya Covid-19, Wizara ya Afya imesema inarekodi wastani wa kesi 825 kwa siku.

 

Tangu kuripotiwa kwa kisa cha kwanza cha corona nchini Uganda, wameripoti visa 53,000 na vifo 383.

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

1 Comments

Emoji
(y)
:)
:(
hihi
:-)
:D
=D
:-d
;(
;-(
@-)
:P
:o
:>)
(o)
:p
(p)
:-s
(m)
8-)
:-t
:-b
b-(
:-#
=p~
x-)
(k)