AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Rais Samia amesema wimbi la tatu la #COVID19 limeipiga Tanzania kuliko wimbi la pili na la kwanza
Hadi hivi sasa kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa #COVID19 ambapo zaidi ya 70 kati yao wanatumia mitungi ya gesi kupumua
Serikali imeamua kuchukua tahadhari zote ikiwemo kuleta chanjo ambapo watanzania watachanja kwa hiyari
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK