.

6/01/2021

Rapper Conboi Afunguka Kununua Gari Mpya "Tukutane Sheli"


 Rapper @iamconboi Amerudi Rasmi Kwenye Ukurasa Wake Wa Instagram Baada Ya Kudukuliwa Kwa Siku Kadhaa Zilizopita, Pamoja Na Hivyo #CONBOI Amesema Pia Acount Yake Ya Youtube Pia Ilidukuliwa Lakini Vyote Kwa Pamoja Sasa Vimerudi. Pamoja Na Vyote Ameshare Good News Zingine Kuwa Amepata Gari Mpya Aina Ya BMW.

Kupitia IG Yake Ameandika......."Yooh Yooh..!! it's been a while coz they hacked My youtube as well as instagram .. but i'm GRATEFUL coz they're all back and i got a new CAR ๐Ÿš™ right noow๐Ÿ˜… thanks to GOD ,my FANS and all people who are supporting me kwenye Muziki Wangu

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger