Ticker

6/recent/ticker-posts

Rapper Drake Analalia Godoro la Shilingi Milioni 927


Rapa #Drake @champagnepapi anaripotiwa kuwa analalia godoro lenye thamani ya dola za kimarekani 400,000 ambazo ni sawa na milioni 927 kwa fedha za Tanzania 🇹🇿

Hii ni kwa mujibu wa tovuti ya habari ya #HipHopDx ikieleza kuwa godoro hilo limetengenezwa kwa material ya nywele za farasi, ngozi ya samaki aina ya (stingray) pamoja na leather (Grand Vividus)

Je, Godoro Lako lina Thamani ya Kiasi Gani ?

Nafasi za Ajira Jiunge na Ajira Yako Telegram Group

 CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments