6/10/2021

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)


Msafara wa watu 33 wa Timu ya Taifa ya Malawi, unatarajiwa kutua Tanzania kesho tayari kwa mtanange wa Kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Taifa Stars hapo Juni 13, 2021, dimbani Benjamin Mkapa.HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger