.

6/06/2021

TB Joshua na Magufuli Walipokutana...Wote Hatupo Nao Kwa Sasa
#Mhubiri TB Joshua enzi za uhai wake, alifanikiwa kutembelea Tanzania na kukutana na viongozi kadhaa akiwemo Hayati Rais Dk. John Magifuli, Novemba mwaka 2015.
-
Mei 10, mwaka huu, bintiye Sarah alifunga pingu za maisha na kijana wa Kitanzania Brian Moshi, jijini Arusha.

#Siku ya Jumamosi tarahe 5 Juni 2021, mtume TB Joshua alizungumza katika mkutano wa runinga ya Emmanuel.
'__“- Kila kitu kina wakati wake - tunapokuja hapa na kuomba na tutarudi na nyumbani baada ya utumwa”_

TB Joshua alikuwa mmoja ya wahubiri maarufu ambapo alijulikana kwa kutabiri matukio yajayo ambayo wengi waliona kama uingiliaji kazi ya Mungu.
×××RIP TB JOSHUA.. RIP MAGUFULI JPM
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger