Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Umber Lulu "Nilimpoteza Mama Nikiwa na Miaka 17, Baba Ameanza Kunitafuta Baada ya Mimi Kuwa Msanii"

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE


Nilimpoteza Mama yangu nikiwa na Umri wa Miaka 17 

''Baada ya Mama kufariki nilihangaika kumtafuta Baba ili angalau akaone kaburi la Mama lakini hajawahi kwenda na hajui alipozikwa Mama, hanijali anapiga simu kuomba pesa tu na Alinitafuta baada ya mimi kuwa msanii'' @iamamberlulu

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments