.

6/03/2021

Wabongo Wavamia Page ya BET, Kampeni za Mwijaku na Wenzake Kumfelisha Mondi Zaelekea KushindwaTuache masihara tuwe sirious guys leo nimenyoosha mikono yangu juu na kusema Diamond lazima arudi na Tuzo nyumbani Tanzania na kama hata rudi basi watanzania itatubidi tu tuandamane mpaka aipate kinguvu.

Katika harakati za kuizungukia page ya @bet_africa nikagundua DIAMOND ni shida na ni balaa mpaka nikaogopa. Yani katika post walizo post wasanii ambao wapo nominated kwenye page yao Basi post ya Diamond ndio imekuwa pendwa zaidi kuliko zote ambayo takribani watu 12,715+ wemeipenda na watu 9,760+ wemeweka comments zao kumtakia ushindi huku wakiamini 100% Diamond atarudi na Tuzo nyumbani Tanzania.

Kinacho nishangaza zaidi ni hizi kelele za Mwijaku ambazo zinaamini Burna Boy ndio atachukua hizo tuzo lakni ukiingia kwenye hiyo page post ya Burna boy hailidhishi kabisa kama Kuna uwezekano wakuichukua Tuzo hiyo yani comments na like zake hata theluthi hazifikii kwenye post ya Diamond.

Kama unaamini tuzo ya BET inakuja nyumbani usisahau ku-comment neno "NAAMINI" huku ukizidi kumuombea Dimond Ashinde.

#WeBelieaveInDaimondPlatnumz

WEKA COMMENT YAKO HAPA TAFADHALI.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger