Ticker

6/recent/ticker-posts
.

Wapiganaji 18 wa Al Shabaab Wauwawa Kwa Amri ya Mahakama

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE

 


Wapiganaji 18 wa Al-Shabaab ambao walihukumiwa kifo, wameuawa Juni 27, 2021 huko Galkayo katika Jimbo la Puntland


Wapiganaji hao walihusika na mauaji ya watu muhimu wa nchi hiyo yakiwemo mlolongo wa matukio ya mauaji na ulipuaji katika maeneo ya Galkayo na Mudug


Mwenyekiti wa Mahakama ya Jimbo la Puntland, Mohamud Abdi Mohamed amesema Mahakama imefanya uamuzi sahihi

 Join AJIRA YAKO Group for Daily Job Updates CLICK HERE


Post a Comment

0 Comments