Wasanii Msishindane na Diamond Platnumz Mtafilisika. Yupo Level za Kina Jay Z na Bakhresa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Baada ya Super dupa staa Diamond kuingiza Cadillac escalade nyingine kwa ajili ya wasaidizi wake kwenye msafara ataokuwa akienda kwenye matukio mbalimbali. Mji umesimama kila mtu anasema la kwake wenye roho mbaya wamepata muhaho.

Nawashauri tu wasanii wa kibongo msishindane na Simba huyo kashashindikana.

Kuna msanii hapa juzi karukaruka sana kujaribu kujipimisha ubavu ila kaishia kupotea watu hawana habari nae tena kabakia kulala hotelini wasanii wake wanaishi studio. Kapigika ile mbaya.

Kwa taarifa tu gari ya kutembelea Diamond Platnumz imeshaagizwa ni ya mwaka 2021 gari ya ndoto yake.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu kashashindikana, wapinzani wake utasikia wakiposti ujumbe wa huruma

    ReplyDelete

Top Post Ad