6/07/2021

Wasanii Wakongwe Wanadhalilika Kwa Kuendelea Kuforce Kufanya Mziki


Wasanii wengi wakubwa wanadhalilika kwasababu ya kuendelea kuforce kufanya mziki . Mimi niliangalia wakati nikaamua kufanya mambo Mengine ili nilinde heshima yangu ndogo niliyobaki nayo " -Afande Sele


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 [disqus]:

Post a Comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger