Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Ali Kiba Afunguka Alipomuona Kwa Mara ya Kwanza Msichana Aliyekuja Kuwa Mke Wake


Nchini Kenya kuna Tamasha kubwa linafahamika kama KOROGA Festival ambapo huwa linafanyika na kujumuisha Burudani za wasanii tofauti .
.
Kupitia hilo Tamasha ndipo Alikiba alimuona kwa mara ya kwanza Mke wake Amina na moja kwa moja akatambua kuwa ni mwanamke Sahihi kwake na pia kwa mujibu wake anasema alijitahidi sana hadi kumpata

 HABARI KAMA HIZI DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL KWA KUBONYEZA > HAPA

Post a Comment

0 Comments