.

7/29/2021

Asilimia 99 ya wanaomshambulia Paula wamejaa unafiki, chuki na wivuWatanzania adui yetu mkubwa kwa sasa ameongezeka.

Wakati wa Nyerere ilikuwa umaskini, magonjwa na ujinga.

Kwa sasa adui yetu mkubwa ni

1. Wivu

2. Chuki

3. Unafki

Ukikaa chini ukatafakari kinachowafanya watu wapige kelele za Paula na maisha yake ni hao maadui wapya watatu.

Maana hakuna kipya cha ajabu anachokifanya Paula mpaka mapovu yawatoke namna hii. Watu ni wanafki, wanamuonea wivu Paula na Ray imesababisha wakajaa chuki.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

0 Blogger:

Post a Comment

New Video - Wana Wanywe Pombe

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL | Powered by Blogger